Jeremiah 52:1

Anguko La Yerusalemu

(2 Wafalme 24:18–25:30)

1 aSedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka kumi na mmoja. Jina la mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia, kutoka Libna.
Copyright information for SwhKC